Europa league kurudi viwanjani usiku wa leo, huku kukiwa na hamasa kubwa nje na ya uwanja na ndani ya uwanja ili kuhakikisha kila timu inafanikiwa kupata alama tatu muhimu, Meridianbet ina mzigo wa kutosha wa kuweza kukufanya umalize siku yako vizuri ni wewe tu kuchagua ni timu gani uweke bashiri yako.
Mechi zote za 30 za Europa league Alhamisi hii kwenye viwanja 15 unaweza bashiri mubashara kwenye tovuti ya meridianbet ambapo Liverpool, Westham United, Olympique Marseille,Atalanta na As Roma zikishuka dimbani kutafuta matokeo katika michezo yao huku wewe ukitafuta pesa.
Meridianbet inakuhakikishia ushindi wa bashiri zako zote kwa kukupa odds kubwa na machaguo ya masoko zaidi ya 1000 alhamisi hii ili kufurahia siku yako huku ukitizama michezo mubashara, bashiri popote na muda wowote ukiwa na Meridianbet
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia https://a.meridianbet.co.tz/20%na uweke mkeka wako.
Klabu ya Liverpool baada ya kushinda michezo yake miwili ya awali awamu hii watakua nyumbani katika dimba lao la Anfield kumenyana na klabu ya Toulouse ya nchini Ufaransa kuhakikisha wanapata alama tatu muhimu ili waendelee kileleni kwenye kundi E.
Mabingwa wa kombe la Uefa Conference league msimu uliomalizika klabu ya Westham United wagonga nyundo kutoka jiji la London watakua ugenini nchini Ugiriki kumenyana na klabu ya Panathaikos katika kuhakikisha wanaendelea kukaa kileleni kwenye kundi lao.
Bila kuwasahau wanafainali wa michuano hii msimu uliomalizika klabu ya As Roma chini ya kocha Jose Mourinho watakua nyumbani katika dimba lao la nyumbani la Estadio de Olympico wakiwakaribisha klabu ya Slavia Prague katika mchezo huo mkali wa michuano ya Uefa Europa League.
Vinara wa ligi kuu ya Ujerumani klabu ya Bayern Leverkusen nao watashuka dimbani kumenyana na klabu ya Qarabag FK katika mchezo mkali wa michuano hii ambao umepewa ODDS KUBWA kwa timu zote kubwa pale Meridianbet unaweka mkeka wako sasa uchukue maokoto yako na michuano ya Europ