BEKI WA KAZI AREJEA YANGA

HABARI njema kwa mashabiki wa Yanga, kuwa beki wa kazi wa timu hiyo raia wa Ivory Coast, Yao Kouassi Attohoula, amepona majeraha na yupo tayari kwa mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Fountain Gate utakaochezwa kesho Ijumaa. Mbali na Yao, pia kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Farid Mussa, naye amerejea kikosini baada…

Read More

UKUTA WA SIMBA PASUA KICHWA

KATIKA mechi tano mfululizo walizocheza Simba hawajaambulia clean sheet, (kucheza bila kuruhusu bao) zaidi ya kutunguliwa mabao sita. Makosa yapo katika eneo la kiungo anapocheza Mzamiru Yassin, Fabricne Ngoma, beki anapocheza Henock Inonga, Che Malone, mlinda mlango Ally Salim, Ayoub Lakred. Ni Ally Salim kosa lake kubwa ni katika kupangua mipira langoni mwake mingi inaishia…

Read More

AZAM FC KUMEKUCHA WAANZA NA HILI

BAADA ya kuambulia kichapo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, matajiri wa Dar Azam FC wameanza maandalizi. Ni Mzizima Dabi ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 3-2 Azam FC ambapo Aziz Ki aliandika rekodi ya kufunga hat trick katika mchezo huo. Mabao ya Azam FC inayonolewa na Yusuph Dabo yalifungwa na…

Read More

JOB MTU WA KAZIKAZI YANGA

DICKSON Job beki bora wa msimu wa 2022/23 bado anaonyesha thamani yake uwanjani kuwa ni chuma cha kazi kutokana na kuwa ni chaguo la kwanza la Miguel Gamondi. Job anayekipiga ndani ya kikosi cha Yanga ni shuhuda timu hiyo ikikomba pointi tatu mazima dhidi ya Azam FC kwenye Mzizima Dabi kwa mabao ya Aziz KI…

Read More

DODOMA JIJI KUMEKUCHA, MASHUJAA YAWAKUTA

WAKIWA Uwanja wa Jamhuri, Dodoma walikuwa mashuhuda wakibaki na pointi tatu mazima baada ya dakika 90. Ubao ulisoma Dodoma Jiji 1-0 Kagera Sugar iliyokuwa inazisaka pointi tatu pia. Bao la ushindi ni mali ya Cristian Nzigah aliyepachika bao hilo dakika ya 40 lilidumu mpaka mwisho wa mchezo huo. Ikumbukwe kwamba Kagera Sugar ilitoka kukomba pointi…

Read More