Skip to content
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira leo kina kazi ya kusaka ushindi mchezo wa robo fainali African Football League.
Hiki hapa kikosi cha kwanza ambacho kinatarajiwa kuanza kipo namna hii:-
Ally Salim
Shomari Kapombe
Mohamed Hussein
Henock Inonga
Che Malone
Sadio Kanoute
Fabrince Ngoma
Kibu Dennis
John Bocco
Saido Ntibanzokiza
Clatous Chama