VIDEO: KOCHA GAMONDI AFUNGUKIA KUMALIZANA NA AZAM FC

OKTOBA 23 Yanga ina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa ikiwa ni msimu wa 2023/24.
Yanga chini ya Miguel Gamondi yenye wachezaji kama Joyce Lomalisa, Skudu Makudubela inasaka pointi tatu ambazo Azam FC nao wanazitaka pia