OTA UTAJIRI PEKEE UKIBASHIRI NA MERIDIANBET PEKEE

Ni rahisi sana kuota utajiri ukibashiri na Meridianbet kwani huku kuna machaguo mengi na tofauti ambayo wewe unaweza ukabshiri kama ni ushinid wa kawaida, magoli, kona, faulo na mengine kibao. Kutokana na urahisi huo basi Meridianbet wanasema hivi Ota utajiri Jumapili hii ya leo.

Ule utamu wa Ligi ya Italia, SERIE A utaendelea leo hii na mechi kubwa kabisa yenye maokoto ya kutosha ni kati ya AC Milan dhidi ya Juventus katika dimba la San Siro majira ya saa 4:00 usiku. Nafasi kubwa ya kushinda mechi hii amepewa Milan akiwa na ODDS ya 2.30 kwa 3.28. Mara ya mwisho kukutana Pioli alishinda. Je leo Allegri anaweza kulipa kisasi? Bashiri sasa mechi hii.

Wakati mechi ya mapema kabisa itakuwa ni AS Roma ambaye atakipiga dhidi ya AC Monza katika dimba la Stade Olimpico. Mourinho akishinda leo atapanda hadi nafasi ya 6 kutoka ya 11. Je mgeni anaweza kumzuia?

Baadae itakuwa ni kati ya Bologna dhidi ya Frosinone Calcio ambao wamepewa nafasi ndogo ya kushinda mechi hii wakiwa na ODDS ya 4.50 kwa 1.76. Tofauti ya pointi kati yao ni moja pekee. Bashiri mechi hii yenye machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.

Huku ukiendelea kubashiri mechi zako kumbuka ule mchezo pendwa kabisa wa AVIATOR leo hii unatoa mvua za kutosha hivyo ingia sasa na uanze kupaa na kindege hicho ufike sehemu ya ndoto zako kwani huku pesa ni ya upesi na ya haraka sana. Meridianbet ndio sehemu ya kukupatia utajiri na si nyingine.

Atalanta ambayo imetoka kupoteza mchezo uliopita, atakuwa nyumbani hii leo kukiwasha dhidi ya Genoa. Mwenyeji yupo nafasi ya 6 na mgeni wake yupo nafasi ya 15. Je vijana wa Gian Gasperin watakubali kupoteza mechi mbili mfululizo. Suka jamvi lako mapema.

 LALIGA itaendelea kubamba hii leo kwa michezo kibao ambapo mchezo wa mapema ni kati ya mwenyeji UD Las Palmas dhidi ya Rayo Vallecano huku nafasi ya kuondoka na ushindi mechi hii amepewa mwenyeji kwa ODDS ya 2.60 kwa 2.84. Tofauti ya pointi kati yao ni 2. Bashiri mechi hii na Meridianbet sasa.

Mechi nyingine ni kati ya Girona ambaye amekuwa na kiwnago kizuri msimu huu dhidi ya UD Almeria ambaye anashikilia nkia hadi sasa. 1.42 ndiyo ODDS ya mwenyeji kushinda na mgeni akipewa 6.46. Je nani kutoboa hii leo?

Ubabe mwingine utakuwa majira ya saa 1:30 usiku ambapo Villarreal atamualika Deportivo Alaves nyumbani kwake huku timu hizi zikiwa na mwanzo mbaya wa ligi kwani zipo nafasi za chini kwenye msimamo hadi sasa. Mechi zao 9 walizocheza wameshinda mechi mbili mbili kila mtu. Leo nani kushinda ya tatu?

Barcelona atakiwasha dhidi ya Athletic Club ambao wanashika nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi. Msimu uliopita Xavi alibeba pointi zote sita kwenye mechi mbili walizokutana. 1.67 ndio ODDS ya ushindi ya mwenyeji na 4.90 ya mgeni. Beti yako unaiweka wapi hapa?

Ligi ya Ufaransa LIGUE 1 nayo itaendelea hii leo, FC Lorient atakipiga dhidi ya Stade Rennes huku mara ya mwisho kukutana mwenyeji alishinda. Mgeni ana ODDS ya 1.94 na mwenyeji amepewa ODDS ya 3.67. Nani kuibuka kidedea leo?

Wakati Toulouse yeye atamenyana dhidi ya Stade Reims mwenye pointi 13 kwenye ligi hadi sasa. Kushinda mwenyeji amepewa ODDS ya 2.69 kwa 2.50. Mara ya mwisho timu hizi mbili kukutana, walitoshana nguvu. Je leo hii nani anaweza kushinda?

Vijana wa Paulo Fonseca Lille watamkaribisha nyumbani kwao Stade Brest 29 kusaka pointi tatu . Mechi hii ina ODDS KUBWA pale Meridianbet ingia na ubashiri sasa. Timu zote zimetoka kutoa sare mechi zao zilizopita hivyo ushindi ni muhimu kwa kila timu. Je nani atashinda?

AS Monaco watakipiga dhidi ya FC Metz huku uhsindi wa mwenyeji utamfanya aongoze ligi akiwa na pointi zake 20. Mechi mbili za msimu uliopita walipokutana, Monaco alishinda zote. Je mgeni anaweza kuharibu sherehe ya mwenyeji wake?. Beti mechi hii na Meridianbet.

Nayo EPL itaendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambapo Aston Villa watamualika West Ham kusaka pointi zao 3. Tofauti ya pointi kati yao ni mbili pekee huku Villa akiwa juu ya Moyes. Mara ya mwisho kukutana,walitoshana nguvu. Vipi safari hii nani atashinda?

Ple BUNDESLIGA mechi zitapigwa mbili tuu ambapo mechi ya mapema ni kati ya FC Cologne dhidi ya Borussia Monchengladbach huku mwenyeji akiwa ndiye kibonde wa ligi akiwa hajashinda mechi yoyote kati ya 7 alizocheza. Lakini walipokutana mara ya mwisho walitoshana nguvu. Machaguo mengi yapo mechi hii.

Mechi ya mwisho itakuwa ni saa 12:30 jioni ambayo ni kati ya FC Heidenheim dhidi ya Augsburg. Nafasi kubwa ya kushinda mechi hii amepewa  mwenyeji akiwa na ODDS ya 2.35 kwa 2.79. Nani kuibuka na ushindi leo hii?. Suka mkeka wako na jumuisha mechi hii.