KAZE ABWAGA MANYANGA NDANI YA NAMUNGO
KUTOKANA na mwendo mgumu wa timu ya Namungo kupata matokeo kwenye mechi za ligi msim wa 2023/24 aliyekuwa kocha wa Namungo FC, Cedric Kaze ametangaza kung’atuka kwenye nafasi hiyo. Taarifa yake ya kubwaga manyanga ndani ya Namungo inayotumia Uwanja wa Majaliwa kwenye mechi za ushindani aliitoa kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram….