MERIDIANBET YATOA MSAADA TABATA VISIWANI]

Wametembea sehemu nyingine wameenda sehemu tofauti tofauti lakini Meridianbet wakasema hapana awamu hii ni zamu ya Tabata Visiwani ambapo wamefika eneo hilo na kuweza kutoa msaada wa vifaa vya mazoezi kwa timu ya Jogging ya eneo hilo mapema leo.

Huu umekua utaratibu wa mabingwa hao wa michezo ya kubashiri kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii ambacho wamekua wakikipata, Na leo wakazi wa Tabata ndio wamenufaika ambapo timu ya mazoezi (Jogging) ya Jogger imefanikiwa kupokea vifaa vya mazoezi kutoka Meridianbet.

Meridianbet lengo lao kubwa ni kuona watu wengi wanavutika na kushawishika kufanya mazoezi baada ya wao kutoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu ya Jogger, Kwani mazoezi yanasaidia kwa kiwango kikubwa kuimarisha afya na kufanya watu kuepukana na maradhi.

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 200,000,000/= PIGA *149*10#

Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano kutoka Meridianbet Nancy Ingram alizungumza kwa niaba ya kampuni hiyo “Tunayo furaha kubwa kuwepo hapa Tabata Visiwani kuhakikisha tunagawa vifaa hivi vya mazoezi amabvyo vitakwenda kuongeza motisha kwa wakazi wa eneo hili kufanya mazoezi na kutunza afya zao.

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

Kiongozi wa timu hiyo ya Jogging inayofahamika kama Jogger alipata nafasi ya kuzungumzia pia msaada uliotolewa na Meridianbet “Kwanza kabisa napenda kushukuru kwa nyie kufika hapa leo na kuweza kutupatia vifaa vya mazoezi, Lakini pia mnaonesha mfano mkubwa kwa taasisi nyingine kutokana na namna mnajitoa kwa jamii yenu sisi kama Jogger tunashukuru sana kwa mlichokifanya leo”