Msemaji wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema licha ya Simba kutoa sare dhidi ya Al Ahly ya Misri ya mabao 2-2, Simba itapata ushindi ugenini na kuitapisha damu timu hiyo kubwa Afrika nyumbani.
AHMED ALLY: SIMBA ITAPATA USHINDI UGENINI NA KUITAPISHA DAMU AL AHLY – VIDEO
