Meridianbet kama kampuni kubwa ya ubashiri nchini Tanzania imekuwekea ODDS KUBWA, na machaguo kibao kwenye kila mechi, hivyo ligi zikiwa zimerejea wikendi hii andaa dau lako uweke uanze kuskaa maokoto ya wikendi hii na huku kla mechi ipo ni wewe kuchagua timu zako uzitakazo bila kusahau ile JACKPOT ya kibabe ipo.
Mbilinge mbilinge za ligi ya Italia, Serie A zitaanzia pale dimba la M.A. Bentegodi ambapo Hellas Verona atakuwa mwenyeji wa Napoli. Vijana wa Rudi Garcia wanataka kutetea taji lao na msimu huu n awamepewa ODDS ya 1.64 kwa 5.09. Mara ya mwisho kukutana walitoka hakuna aliyekuwa mbabe. Suka jamvi lako na uweke mechi hii.
Mechi nyingne ya kutoana jasho itakuwa ni kati ya Torino dhidi ya Inter Milan majira ya saa 1:00 usiku. Simone Inzaghi anashikilia nafasi ya pili. Mwenyeji yupo nafasi ya 14 akivuna pointi 9 pekee kwenye mechi zake nane alizocheza. Walipokutana mara ya mwisho Milan alishinda zote. Je mwenyeji atakubali kichapo kingine?
Wakati majira ya 3:45 Sassuolo atamleta nyumbani Lazio huku wote wakiwa pointi 10 kwenye ligi. Mechi hii ni ya ushindani sana kwani timu yoyote inaweza kuondoka na alama 3. Sarri na vijana wake wataweza kuchomoka ugenini?
Vilevile JACKPOT baab kubwa ya Meridianbet inaendelea kama kawaida ambapo Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kutolewa ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13 kwa dau la shilingi 1000. Kwa wale wa kitochi na USSD menyu ni ile ile *149*10#. Ingia www.meridianbet.co.tz ubashiri sasa.
Nayo EPL itaendelea kuanzia hapo kesho ambapo mechi ya mapema itakuwa ni kati ya Liverpool dhidi ya Everton ikiwa ni Merseyside derby huku nafasi kubwa ya ushindi amepewa Klopp akiwa na ODDS ya 1.32 kwa 7.44. Mara ya mwisho kukutana Jogoo alishinda. Je nani kuibuka mshindi kesho?
Mechi nyingine itakuwa ni kati ya vijana wa Pep Guardiola Manchester City ambaye atakuwa Etihad kumkaribisha Brighton ya De Zerbi. City amepoteza mechi mbili mfululizo za ligi. Je na kesho atakubali kupoteza mechi ya tatu? Suka jamvi lako hapa.
Newcastle United atakuwa katika dimba la ST James’ Park baada ya kulazimishwa sare ugenini atamualika Crystal Palace ambaye naye pia alitoa sare mchezo wake uliopita. Mechi ya mwisho kukutana hakuna aliyekuwa mbabe. Howe amepewa ODDS ya 1.46 kushinda mechi hii kwa 6.86. Bashiri sasa.
LONDON DERBY itapigwa kesho kati ya Chelsea dhidi ya Arsenal ambapo vijana wa Pochettino wanahitajika kumaliza uteja wao dhidi ya Gunners. Nafasi kubwa ya kushinda mechi hii pale Meridianbet amepewa Arteta akiwa na ODDS ya 2.54 kwa 2.99. Beti yako unampa nani ni RED au BLUE?.
Kule LALIGA, mambo ni msumeno wa moto unakata huku na kule, Vijana wa Diego Simeone Atletico Madrid watakuwa ugenini dhidi ya RC Celta Vigo ambaye yupo nafasi ya 18 kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana msimu uliopita Atletico alichukua pointi sita zote. Je mwenyeji atalipa kisasi? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.
Wakati vinara wa ligi Real Madrid watakuwa ugenini dhidi ya Sevilla ambao wanajitafuta wakiwa wameshinda mechi zao mbili pekee kwenye mechi 8 walizocheza. Real ana ODDS ya 1.86 kushinda mchezo huu kwa 3.92. Wakati mwenyeji wake akiwa nafasi ya 14, je Ancellotti na vijana wake watafanya nini?.
BUNDESLIGA kama kawaida mambo yatakuwa ni moto wakianza leo leo Borussia Dortmund atakiwasha dhidi ya Werder Bremen huku BVB wakilenga ushindi leo waongoze ligi. Vijana wa Terzic wakipewa ODDS ya 1.30 kwa 7.84.
Union Berlin mwenye ODDS ya 2.50 atakipiga dhidi ya VFB Stuttgart ambaye amepewa ODDS ya 2.69. Mara ya mwisho kukutana Berlin alishinda huku tofauti ya pointi kati yao ni 12. Suka mkeka wako haraka na ubeti
Baada ya RB Leipzig kulazImishwa sare mchezo uliopita, atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya SV Darmstadt 98 mwenye ODDS 6.07. Je RB atafanya nini safari hii huku akipewa nafasi kubwa ya kushinda pale Meridianbet kwa ODDS ya 1.44.
Nao mabingwa watetezi Bayern Munich ya Thomas Tuchel watakuwa wageni wa FSV Mainz. Mechi iliyopita mwenyeji aliondoka na pointi 3 huku Mabingwa hao wa Ujerumani wakitaka kulipa kisasi kwa ODDS ya 1.25. Je mwenyeji atazuia?