HIKI hapa kikosi cha Simba dhidi ya Al Ahly, African Football League.
Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa ufunguzi kipo namna hii kikosi cha kwanza:-
Ally Salim
Shomari Kapombe Mohamed Hussein,
Che Malone,
Mzamiru Yassin
Fabrice Ngoma
Clatous Chama
Kibu Dennis
Saido Ntibanzokiza
Luis Miquissone