Kama ilivyo kawaida, Meridianbet inaendelea kuwavutia wateja wao ambapo safari hii wamekuja na promosheni kabambe kutoka kwenye mchezo wao wa kasino maarufu kama Aviator ambao ulianza toka tarehe 12 na uanendelea hadi mwisho wa mwezi.
Promosheni hiyo imekuja na kwa lengo la kutoa beti za bure kwa wale wateja wao ambao wanacheza mchezo huo wa Aviator au kindege na pia kwa wale ambao bado hawaujui mchezo huo basi waingie na waanze kucheza sasa kwani ni rahisi sana na unasifika kama mchezo ambao unaeleweka mapema sana.
Kutokana na urahisi wake Meridianbet wakaona isiwe tabu ngoja walete kitu ambacho kitawavutia wateja wao ambacho ni beti za bure au kwa jina ambalo limezoeleka ni “free bets” ukiwa unaendelea kucheza mchezo huu wa Aviator.
Huku ukiendelea kujibweda na mchezo huu wa AVIATOR, kumbuka pia kucheza JACKPOT kubwa ambayo imekuja na shilingi Milioni Mia Mbili, (200,000,000) kwa dau la shilingi 1000 tu unabashiri mechi zako 13 na ukipata zote pesa hiyo yote ni yako na unaweza kutimiza ndoto zako ukiwa na Meridianbet pekee. Na hii ni kwa wateja wote wanaoutumia APP pamoja na kitochi yani USSD ambao watapiga *149*10# kubashiri sasa.
MASHARTI YA PROMOSHENI HII YA AVIATOR
Ili kuingia kwenye promosheni hii lazima uwe umejisajili na Meridianbet kupitia tovuti yao ya www.meridianbet.co.tz ndipo unaweza kupata ofa hii inayotolewa na magwiji hawa wa ubashiri Tanzania.
Lakini pia kumbuka wakati unapocheza Aviator, beti za bure zitatokea kila siku angalau mara 20 kwa siku kwa wachezaji 10 kila muda, na wachezaji 10 wa mwanzo ambao watabonyeza kitufe cha “CLAIM” ndio watapata beti za bure.
Na hapo Meridianbet wanakuambia hivi hizo “free bet” ama beti za bure zina thamani ya shilingi 500 huku beti hizo hukaa kwa dakika 10 pekee hivyo mchezaji anahitajika kuzitumia haraka iwezekanavyo kabla hazijapotea. Baada ya hapo akishinda anaweza kutoa pesa yake ambapo zitafikia ODDS ya 1.95.
Hivyo mteja wa Meridianbet ukiwa unawaza wapi utapa ofa nzuri kama hizi jibu ni moja tuu napo ni Meridianbet ingia sasa na uingie kwenye promosheni hii ya Aviator ambayo imebaki na siku chache tuu imalizike.
Kumbuka kuwa masharti na vigezo lazima vifuatwe ili usije kukosa beti za bure zitolewazo hapa. Pia kumbuka Meridianbet wanayo haki ya kuondoa promosheni hii na kubadilisha sheria muda wowote.
UNAWEZAJE KUTUSUA NA AVIATOR MERIDIANBET?
Ni rahisi tuu kutusua mkwanja wa maana ukicheza Aviator kwani kumekuwa na maswali mengi sana juu ya namna ya kupiga mkwanja. Ni hivi ukiingia kwenye mchezo wenyewe, angalia pembeni juu kulia utaona michezo iliyopita jinsi ambavyo inaeda hivyo inakuwa rahisi kwako kujua kama mzunguko huu ubeti au laa.
Kitu cha pili cha kuzingatia ni kama umebeti sehemu zote mbili na mzunguko unahisi utakuwa ni mrefu unaweza ukacash out beti moja na ukaacha nyingine iendelee ili hata kama ndege ikiianguka unakuwa umepata beti mojawapo.
Kitu cha tatu ambacho ni njia ya kukupatia pesa kwenye Aviator, ni kuzingatia dau kutokana na pesa uliyonayo, weka pesa kidogo dogo kwanza huku ukiangali mizunguko ya nyuma ndipo hapo baadae ukishapata pesa nyingi unaweza ukaongeza dau lkao kwani Meridianbet wamekurahisishia kwa kukuwekea dau la shilingi 200.
Kitu cha nne ni kuwa makini na uharaka wa “kucash out” kwani kindege huanguka kwa haraka pia hivyo ndugu mteja wa Meridianbet ukicheza Aviator unaweza kukusanya maokoto ya maana sana.
Meridianbet inakupa kile ambacho unakitaka wewe, unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye akaunti yako sasa na uanze kucheza Aviator mchezo ambao umekuwa pendwa sana kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni.