KUELEKEA mchezo wa African Football League kati ya Simba v Al Ahly ya Misri, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally ameendeleza kampeni ya kubandika stika kwenye magari ikiwa ni hamasa kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 20,2023.
Huo ni mchezo wa ufunguzi ambao utachezwa ndani ya ardhi ya Tanzania ikiwa ni heshima kwa Taifa.