Mtanange kati ya klabu ya Arsenal dhidi ya Manchester City wikiendi una nafasi ya kukupa mkwanja wa kutosha wewe mteja wa Meridianbet ambapo mchezo huu umepewa ODDS BOMBA pale kwenye tovuti yetu, Lakini mchezo huu pia ikumbukwe unaweza kumpa Arsenal nafasi ya kufuta uteja wake mbele ya Man City.
Mchezo huu mbali na kua wa presha kubwa lakini unakutanisha timu ambazo zina ubora mkubwa kwasasa katika ligi kuu ya Uingereza, Kwani klabu hizo ndio zilimaliza nafasi za juu katika msimamo wa ligi kuu ya Uingereza msimu uliomalizika Man City wakiwa mabingwa Arsenal wakikamata nafasi ya pili.
Mchezo unatajwa kama ni nafasi ya Arsenal kwenda kufuta uteja dhidi ya Man City kwakua klabu hiyo haijafanikiwa kushinda mchezo wowote wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya klabu hiyo tangu mwaka 2017, Hii ikiwa ni rekodi mbaya kwa upande wa klabu ya Arsenal.
Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
Mchezo huu unavuta hisia za watu vilevile kutokana na nafasi ya vilabu hivyo kwenye ligi kuu ya Uingereza ambapo klabu ya Manchester City wapo kileleni wakiwa na alama 18 wakipishana na Arsenal kwa alama moja tu ambao wapo kwenye nafasi ya tatu, Vilevile Man City wakiwa na nafasi ya kuharibu rekodi yas Arsenal ambayo hawajapoteza mchezo mpaka sasa.
NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 200,000,000/= PIGA *149*10#
Michezo mingine itaendelea kurindima wikiendi hii kuanzia Jumamosi na Jumapili katika ligi mbalimbali kuanzia pale Uingereza, Hispania, Italia, Ujerumani na Ufaransa na Meridianbet na imewekewa ODDS BOMBA kazi ni kwako tu kuweka ubashiri wako na ujishindie mkwanja wa kutosha.
Pale katika ligi kuu ya Uingereza Jumamosi Man United watashuka dimbani kuitafuta fomu yao wakiwa katika dimba lao la nyumbani pale Old Trafford, Chelsea watakua ugenini pale Turf More dhidi ya klabu ya Burnley, Jumapili napo hapajapoa ukiachana na kipute cha Arsenal lakini pale Amex Stadium Brighton wataikaribisha Liverpool, Westham nao wataikipiga dhidi ya Newcastle United.
Ligi kuu ya Hispania nayo wikiendi hii kitapigika ambapom siku ya Jumamosi Real Madrid watakipiga na Osasuna huku Sevilla watawakaribisha Rayo Vallecano pale Ramon Sanchez Pizjuan, Jumapili Barcelona watashuka dimbani kumenyana na Granada wakiwa ugenini Atletico Madrid wakiwa nyumbani katika dimba lao la Wanda Metropolitano wataikaribisha Real Sociedad.
NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 200,000,000/= PIGA *149*10#
Pale Italia katika ligi kuu ya Serie A kutapigwa michezo mikali pia siku ya jumamosi Inter Milan watakua nyumbani kuikaribisha Bologna huku kutakua na mtanange mkali wa Derby ya Turin ambapo Juventus watakua nyumbani kuikaribisha Torino, Jumapili nayo itakua na michezo mikali ambapo Lazio atakipiga na Atalanta wakati Napoli wakiwa nyumbani kukipga na Fiorentina.
Bundesliga nayo itakua haijapoa wala kuboa wikiendi hii ambapo siku ya Jumamosi Borussia Dortmund watakipiga na Union Berlin huku Rb Leipzig watakipiga dhidi ya Bochum, Jumapili vinara wa Bundesliga Bayern Leverkusen watashuka dimbani dhidi ya Fc Cologne ambapo Bayern Munich wao watakipiga dhidi ya Freiburg. Michezo yote hii mikali katika ligi mbalimbali barani ulaya unaipata Meridianbet ikiwa na ODDS KUBWA na za kibabe weka ubashiri wake upige mkwanja wa kutosha.
Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.