WABABE WA YANGA WAMEPANGWA KUNDI A KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA – RATIBA IPO HAPA

WABABE wa Yanga na Singida Big Stars katika Kombe la Shirikisho Afrika USM Alger, Future wamepangwa kundi A kwenye mashindano hayo yatakayotimua vumbi Novemba 26 pamoja na Super Sport Unied na Al Hilal ya Libya.

Kundi B ni; Zamalek SC, Sagrada Esperanca ya Angola, Abu Salim ya Libya na S.O.A.R ya Gunie.

Kundi C ni; Rivers United ya Nigeria, Club Africain ya Tunisia, Dreams FC, na APC Lubito ya Angola,

Huku kundi D inaongozwa na mabingwa mara mbili Kombe la Shirikisho Afrika RS Berkane, Diables Noirs ya Congo, Stade Malien ya Mali na Sekhukhune United za Afrika Kusini.