Leo hii na kesho ni siku muhimu sana kwako wewe unayebashiri ili kutimiza ndoto zako ambazo unaziwaza kila siku. Na utajiri lazima uupambanie kama Meridianbet ambavyo wanapambana kila siku kuhakikisha wanakupatia ODDS KUBWA zitakazokufanya wewe uendelee kubaki kwao tuu. Mechi zipo kibao ingia sasa na uanze kubashiri.
Mikel Arteta na vijana wake Arsenal watasafiri hadi Ufaransa katika dimba la Ballaert-Delelis ambapo watamenyana dhidi ya RC Lens ambao kwenye msimamo wa Ligue 1 wapo nafasi ya 15 wakiwa na pointi 7 pekee hadi sasa. The Gunners wao wapo nafasi ya 3 wakiwa hawajapoteza mchezo wowote. Beti yako unaipeleka wai kati ya hawa wawili?
Napoli baada ya kuishia robo fainali msimu uliopita michuano hii, leo hii atakuwa mwenyeji wa Real Madrid ambao ndio mabingwa mara nyingi wa michuano hii. Hii ni mechi ya kuvutia sana ambayo itaenda kupigwa saa 4:00 usiku huku mechi hii ikiwa na machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri na Mabingwa hawa.
Manchester United baada ya kupoteza mchezo wa ligi Wikendi hii leo hii atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Galatasaray kutoka Uturuki. Ten Hag anahitaji ushindi mechi hii akiwa Old Trafford,. Je ataweza kufanikisha hilo mbele ya timu hiyo yenye wachezaji kama Ziyech, Icard na Zaha?
Ile Jackpoti baab kubwa ya Meridianbet sasa imefanyiwa ongezeko kubwa kabisa ambapo kwasasa utajipigia shilingi Milioni Mia mbili (200,000,000) kwa buku tuu ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Pia unaweza kubashiri ONLINE kwasasa. Kwa USSD menyu ni ile ile *149*10#. Ingia na ucheze sasa.
Manchester City baada ya kupoteza mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu, kesho atakuwa ugenini kucheza dhidi ya RB Leipzig ambao wametoka kutoa sare mechi yao ya ligi. City ndio mabaingwa watetezi wa Kombe hili. Guardiola anatalitaka tena taji hili. ODDS ya kushinda Leipzig ni 4.50 na mgeni wake ni 1.69. Mara ya mwisho kukutana City alishinda. Je mwenyejikulipa kisasi?
Vijana wa Diego SimeoneAtletico Madrid baada ya kulazimishwa sare mchezo wa kwanza, wao watakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Feyenoord ya Uholanzi. Nafsi ya kupata pointi 3 amepewa mwenyeji akiwa na ODDS ya 1.64 kwa 4.90. Unadhani Simeone ataondoka na alama zote ?
Novatus na Shakhtar Donetsk yake baada ya kuchezea kichapo mechi ya kwanza, safari hii watakuwa ugenini dhidi ya Royal Antwerp ambaye nae pia alichezea za uso. Pointi 3 ni muhimu kwa timu zote mbili, lakini nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu amepewa mwenyeji akiwa na ODDS ya 1.81 kwa 4.11. Ingia Meridianbet na ubashiri mechi hii sasa.
Newcastle United atamkaribisha PSG nyumbani kwake kutafuta pointi 3 za kwanza kwenye mchezo huu pili. Vijana wa Eddie Howe walitoa suluhu mechi ya kwanza huku wababe wa Ufaransa wao wakipata ushindi. Enrique anataka makubwa kwenye ligi ya mabingwa huku Howe naye akitaka kuonyesha uwezo wake. Mechi hii ina ODDS KUBWA ya 2.60 kwa wageni na 2.55 kwa mwenyeji. Beti sasa.
Borussia Dortmund atamualika AC Milan huku timu zote zikisaka pointi tatu za kwanza kwenye mechi ya pili. BVB alipoteza mechi iliyopita huku Milan wao wakitoa suluhu. Je Mjerumani au ni Muitalia kuibuka na ushindi kesho?
Baada ya Barcelona kutoa kichapo cha maana mchezo wake uliopita, kesho atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya FC Porto ambaye naye alitoa dozi nzito kwenye mechi yake ya kwanza. Xavi na vijana wake wamepewa nafasi kubwa ya kuondoka na uhindi hapo kesho wakipewa ODDS ya 1.86. Je Wenyeji watakubali kupoteza mchezo?
Bayern Munich dhidi ya FC Copenhagen huku kinara wa kundi hilo Thomas Tuchel akionekana kupewa nafasi kubwa sana ya kushinda mchezo huo akiwa ugenini hii leo. Mwenyeji amepewa ODDS ya 11.76 kwa 1.20. Nani kuibuka na ubabe mechi hii?