HAWAAMINI MACHO YAO SIMBA KIMATAIFA

HAWAAMINI macho yao Power Dynamos wapinzani wa Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kushuhudia wakipokwa tonge mdomoni la kutinga hatua ya makundi. Kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Power Dynamos walianza kuwatungua Simba ndani ya dakika 20 za mwanzo kipindi cha pili mambo yalibadilika na kuruhusu nyavu zao kutikishwa. Dakika 90 zilikamilika…

Read More

KUVUNJIKA KWA KOLEO SI MWISHO WA UHUNZI

KWENYE anga la kimataifa tumeona namna ambavyo wawakilishi wa Tanzania walikuwa wakipambana kutafuta matokeo. Mwisho dakika 90 zimeamua nani atakuwa nani. Kwa Yanga walikuwa na faida ya ushindi wa mabao mawili waliyopata ugenini dhidi ya Al Merrikh na Simba wao sare ya mabao 2-2 waliyopata ugenini. Ni wazi kuwa wachezaji wa Yanga walijituma mechi zote…

Read More