SportsVIDEO: MTAZAME MTOTO SHABIKI WA YANGA Saleh1 year ago01 mins MTAZAME mtoto shabiki wa Yanga akiimba kuhusu timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Yanga ina kibarua cha kutetea taji la Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 baada ya kutwaa taji hilo msimu wa 2022/23 Post navigation Previous: UCHAWI WA ALLY SALIM NA PENALTI UPO HAPANext: KINAWAKA LEO LIGI KUU BARA