SIMBA 0-0 SINGIDA FOUNTAIN GATE

KIPA namba mbili wa Simba Ally Salim yupo langoni na ameshuhudia dakika 45 za mwanzolango likiwa salama.

Ikiwa ni hatua ya nusu fainali ya pili Ngao ya Jamii Uwanja wa Mkwakwani Tanga.

Ubao unasoma Simba 0-0 Singida Fountain Gate.

Mshindi wa mchezo wa leo anakwenda kukutana na mshindi wa fainali ya kwanza iliyochezwa Agosti 9.