AGOSTI 10 ni dakika 90 za nguvu kati ya Simba dhidi ya Singida Fountain Gate mchezo wa Ngao ya Jamii ikiwa ni hatua ya nusu fainali ya pili.
Beno Kakolanya ameanza kwa upande wa mlinda mlango ndani ya Singida Fountain Gate
Kelvin Kijili, Gadiel Michael huyu amepewa kitambaa cha unahodha, Carno, Mangalo, Kagoma, Chukwu, Abuya, Ambundo, Kazadi na Tchakei.
Uwanja wa Mkwakwani Tanga, mshindi wa mchezo anatinga hatua ya fainali na atakutana na Yanga.