DABI NDANI YA TANGA, MKWAKWANI, YANGA V SIMBA
NI Kariakoo Dabi ndani ya Tanga inasubiriwa kwa shauku kutokana na kila mmoja kushinda kigingi cha kwanza cha nusu fainali. Katika nusu fainali ya pili dakika 90 zilikuwa ni ngumu kwa nyota wote katika kucheka na nyavu kati ya Simba dhidi ya Singida Fountain Gate. Ubao umesoma Simba 0-0 Singida Fountain Gate na kupeleka changamoto…