VIDEO: ISHU YA YANGA KUJA NA MPANGO WAO SIMBA WACHARUKA

KUELEKA kwenye Simba Day Agosti 6 2023 Dr Shabiki wa Simba amebainisha kuwa Yanga wana mpango wa kuvuruga tamasha hilo. Yanga imekamilisha jambo lao kwa kuwatambulisha wachezaji wapya kwa ajili ya kuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Yanga imewatambulisha Max Zengeli, Skudu ambao wanaingia kwenye kikosi cha Yanga inayonolewa na Miguel Gamondi….

Read More

STAA MPYA YANGA APIGA MKWARA HUU

NYOTA mpya ndani ya kikosi cha Yanga Maxi Zengeli ameweka wazi kuwa yeye sio mtu wa ahadi bali kazi itaongea zaidi uwanjani. Nzengeli ni ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Ni FC Maniema alikuwa akikipiga raia huyo wa DR Congo anavaa jezi namba 7 mgongoni kiungo huyo mwenye…

Read More

NGUVU YA WASHKAJI INAKWENDA KUONEKANA MKWAKWANI TANGA

UKIONA giza linazidi wanasema kunakaribia kukucha, hivyo tu basi kwa namna joto la Ngao ya Jamii linavyozidi kukaribia basi ligi ipo njiani. Waliotwaa taji ya Ngao ya Jamii 2022/23 ni Yanga wanakwenda kukutana na Azam FC. Timu zote zitakwenda kuonyesha nguvu ya ushikaji ndani ya Uwanja wa Mkwakwani Agosti 9. Hapa tunakuletea baadhi ya mastaa…

Read More

SPORTPESA NA SINGIDA FOUNTAIN GATE WAREJESHA KWA JAMII

SPORTPESA imeungana na Singida Fountain Gate FC kutembelea wodi ya Wamama Singida, katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Singida katika maadhimisho ya Singida Big Day. Ipo wazi kuwa SportPesa ni wadhamini wakuu wa Singida Fountain Gate FC iliyokamilisha jambo lao la Singida Big Day Agosti 2 2023 Uwanja wa Liti, Singida. SportPesa wakiongozwa na Mwenyekiti…

Read More

RAIS SAMIA MGENI RASMI SIMBA DAY

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Simba Day. Tukio hilo la kutambulisha wachezaji pamoja na benchi la ufundi linatarajiwa kufanyika Uwanja wa Mkapa, Agosti 6 2023. Tayari Simba imetambulisha msanii mkubwa Afrika Mashariki, Ali Kiba ambaye aliwahi kuwa shabiki wa Yanga na sasa amehamia Simba huyu atakuwa…

Read More