VIDEO:TUNDA MAN AFUNGUKIA SIMBA DAY

MSANII Mkongwe Bongo Tunda Man ambaye ni shabiki wa Simba ameweka wazi kuwa kuelekea Simba Day kutakuwa na mengi mazuri hivyo mashabiki wajitokeze kwa wingi. Hili linakuwa tamasha la tatu kwa ukubwa Bongo baada ya Yanga kuanza kwenye Wiki ya Mwananchi kisha Singida Fountain Gate kufuata kwenye Singida Big Day. Yanga walifanya utambulisho wa wachezaji…

Read More

SIMBA YATAMBA NA NYOTA WAO WAPYA

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa kazi kubwa watafanya kwa msimu mpya wa 2023/24 wana imani na wachezaji wao wapya pamoja na wale waliokuwa katika kikosi msimu wa 2022/23. Leo Agosti 3 mastaa wa Simba wanatarajiwa kuanza maandalizi kwa ajili ya Simba Day inayotarajiwa kuwa Agosti 6. Mastaa wapya ndani ya kikosi cha Simba ni pamoja…

Read More

MCHAKAMCHAKA WA USHINDI UNAANZA SASA

MCHAKAMCHAKA wa maisha ya mpira unazidi kuendelea kasi huku ligi ikiwa mlangoni kuanza. Kwa mipango mipya tunaamini maandalizi ya kila timu yamefanyika kwa wakati. Licha ya kwamba ilikuwa ni muda mfupi kwa maandalizi ni muhimu kila timu kupambana kutimiza majukumu ambayo yanawahusu hilo ni muhimu kuzingatia. Tunaona kwamba Namungo imejumuisha wakongwe ndani ya kikosi chao…

Read More