VIDEO:JEMBE JIPYA LA YANGA LACHAMBULIWA NA SIMBA
JEMBE jipya la Yanga limechamuliwa na Simba, Julai 29 Yanga walitambulisha nyota mpya ambaye ni mshambuliaji. Hafiz Konkoni ametambulishwa ndani ya Yanga ambayo imeweka kambi AVIC Town
JEMBE jipya la Yanga limechamuliwa na Simba, Julai 29 Yanga walitambulisha nyota mpya ambaye ni mshambuliaji. Hafiz Konkoni ametambulishwa ndani ya Yanga ambayo imeweka kambi AVIC Town
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umebainisha kuwa haujamaliza kazi ya kutambulisha nyota wapya kutokana na kujipanga kuwa tofauti. Timu hiyo imeweka kambi Morogoro kwenye Uwanja wa Manungu na jana ilitarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC, Uwanja wa jamhuri. Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa walikuwa kimya kwa muda wakikamilisha utaratibu wa…
UKURASA wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
USHINDANI kwa msimu mpya unategemewa na maandalizi ya ambayo yanafanywa kwa wakati huu kwa kila timu. Iwe ni Yanga ama Singida Fountain Gate hata Simba au Namungo wote matokeo yanaamuliwa na kile wanachokifanya kwa sasa. Kila timu inapambana kwa ajili ya maandalizi huku mabingwa watetezi Yanga kambi yao ikiwa AVIC Town Kigamboni, Singida Fountain Gate…
KUTOKA Ghana Hafiz Konkoni mwenye umri wa miaka 23 alikuwa anakipiga Club ya Bechem United ya Ghana amesaini dili jipya Yanga. Hafiz msimu wa 2022/23 rekodi zinaonyesha kuwa kwenye Ligi Kuu nchini Ghana aligotea nafasi ya pili kwa wanaowania Tuzo ya Mfungaji bora kwa kufunga mabao 15 na pasi tatu za mabao. Nyota huyo alipata…