VIDEO:ISHU YA BANGALA KUIBUKIA AZAM FC NENO KUTOKA YANGA

JULAI 29 kiraka ndani ya kikosi cha Yanga, Yannick Bangala ametangazwa kuwa ni mali ya Azam FC.Bangala mkataba wake na Yanga ulibaki wa kadanrasi ya mwaka mmoja ambapo ulitarajiwa kugota mwisho 2024. Taarifa iliyotolewa na Yanga imeeleza kuwa wamefikia makubaliano mazuri na Azam FC ambao wamebainisha kuwa wamefikia makubaliano ya kumnunua mchezaji huyo kutoka Yanga….

Read More

ISHU YA JONAS MKUDE KUONDOKA KAMBINI YANGA IPO HIVI

WAKATI tetesi zikieleza kuwa kiungo mkabaji ingizo jipya ndani ya Yanga Jonas Mkude amesepa kambini AVIC habari za kuamini zimebainisha kuwa nyota huyo yupo kambini. Ikumbukwe kwamba Mkude ni ingizo jipya ndani ya Yanga aliibuka hapo akiwa mchezaji huru baada ya kukutana na Thank You kutoka kwa mabosi wake wa zamani Simba. Aliibuka hapo akiwa…

Read More

SINGIDA BIG DAY HII HAPA MAMBO YAMEPAMBA MOTO

ZIKIWA zinahesabiwa siku kabla ya tukio la kihistoria kwa Klabu ya Singida Fountain Gate tayari timu itakayocheza mchezo wa kirafiki imewekwa wazi. Ni AS Vita ya DR Congo itakuwa na kazi ya kuwapa burudani wakazi wa Singida na vitongoji vyake kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Agosti 2,2023. Siku hiyo itakuwa ni Singida Big Day ambapo wachezaji…

Read More

BANGALA AKUTANA NA THANK YOU YANGA

YANICK Bangala beki aliyekuwa ndani ya Yanga msimu wa 2022/23 amekutana na Thank You. Ni Julai 29 taarifa rasmi kutoka Yanga imeeleza kuwa nyota huyo hatakuwa kwenye kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Taarifa hiyo imeeleza namna hii: “Uongozi wa Young Africans SC unapenda kuutarifu umma kuwa tumefikia makubaliano na Klabu ya Azam FC ya…

Read More

KOCHA SIMBA AANZA KAZI ZANZIBAR

 MASSOUD Djuma raia wa Burundi ameanza rasmi kazi ndani ya Klabu ya KMKM ya Zanzibar kwa ajili ya kuinoa timu hiyo kwa msimu wa 2023/24. Djuma aliwahi kuifundisha Simba inayoshiriki ligi ya Tanzania pia aliwahi kuifundisha Dodoma Jiji kwa sasa yupo ndani ya KMKM akichukua mikoba ya Hemed Morocco ambapo timu hiyo inashiriki mashindano ya…

Read More

WINGI WA MASHABIKI UNAWEZA KUWA FAIDA ZAIDI, FEDHA BAADAE

TAMASHA la hitimisho ya wiki ya Wananchi la Yanga wiki iliyopita, kwa hesabu limefeli. Halikufikia kile kiwango ambacho kilikuwa kinatakiwa. Halikufikia kwa kuwa kiwango cha watu kilichoingia kilikuwa kidogo kuliko ilivyotarajiwa na gumzo kubwa likawa ni tamasha hilo kukosa mashabiki wa kutosha. Wiki moja kabla ya tamasha hilo kufikia, gumzo lilikuwa ni namna ambavyo maandalizi…

Read More

MTIBWA SUGAR WAMEANZA BALAA LAO

UONGOZI wa Mtibwa Sugar umeanza kushusha vyuma vya kazi kwa ajili ya msimu mpya ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mtibwa Sugar ni miongoni mwa timu ambazo zimetoa wachezaji bora ambao wanacheza ndani ya Yanga, Singida Big Stars, Azam FC. Kwa msimu wa 2023/24 Singida Big Stars itakuwa inaitwa Singida Fountain Gate. Wapo pia ambao…

Read More