MUDA WA KUPEPERUSHA BENDERA KIMATAIFA NI SASA

TAYARI ile Droo ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na ile ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa imeshafahamika. Wawakilishi wetu kutoka Tanzania bara na visiwani wamewatambua wapinzani wao ambao watakutana nao kwenye mechi za ushindani. Yanga wanakumbuka rekodi yao bora ya kutinga fainali kwenye Kombe la Shirikisho Afrika na…

Read More