WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA HAWA HAPA

 JULAI 25 droo ya CAF kwa timu ambazo zinazoshiriki mashindano kimataifa imechezwa leo ambapo wawakilishi wa Tanzania bara na visiwani wamewatambua wapinzani wao. Ni Yanga washindi wa pili kwenye Kombe la Shirikisho Afrika msimu wa 2022/23 wao wataanza katika raundi ya kwanza. Klabu ya Yanga chini ya Miguel Gamondi mrithi wa mikoba ya Nasreddine Nabi…

Read More

VIINGILIO VYA SIMBA DAY HIVI HAPA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa siku ya Simba Day ni sikukuu hivyo hawapangi viingilio vikubwa kuwakomoa mashabiki wao. Agosti 6 ni Simba Day ikiwa ni siku ya utambulisho kwa wachezaji pamoja na benchi jipya la ufundi pamoja na lile lililokuwa na timu msimu wa 2022/23. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano…

Read More

GAMONDI AMEANZA POA LAKINI MUMVUMILIE

Anaandika Jembe KIKOSI kipya cha Yanga kimeanza vizuri katika mechi yake ya kwanza kabisa kwa msimu mpya wa 2023/24 ikiwa ndio wanakionyesha kikosi chao wakati wa kilele cha tamasha la Mwananchi. Bado hawajaanza mashindano rasmi lakini tayari angalau tumeona kikosi hicho kipya cha Yanga kinacheza namna gani. Kocha Mkuu mpya wa Yanga, Miguel Gamondi ambaye…

Read More

WENGINE KUUZWA SIMBA BAADA YA SAKHO

BAADA ya kumuuza Pape Sakho Simba wamesema kuwa mchezaji yoyote yule watamuuza ikiwa watapata ofa nzuri. Julai 24 timu hiyo ambayo imeweka kambi Uturuki ilicheza mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Zira. Katika mchezo huo walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2023/24. Miongoni mwa wachezaji waliopo Uturuki ni…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE KUWATAMBULISHA NYOTA WAPYA

IMEELEZWA kuwa nyota watatu wanatarajiwa kutambulishwa siku ya Singida Fountain Gate ikiwa ni zawadi yao kwa mashabiki msimu wa 2023/24. Taarifa zimeeleza kuwa Singida Fountain Gate ambayo imewatambulisha baadhi ya nyota wao ikiwa ni Yahya Mbegu huku ikiwaongezea mikataba Bruno Gomes, Aziz Andambwile bado haijamaliza kusajili. “Kuna wachezaji watatu ambao hawajatajwa popote kwa sasa hao…

Read More