MWALIMU Yanga amemchambua nyota mpya wa Yanga Maxi ambaye ameonekana kuwa nyota wa mchezo dhidi ya Kaizer Chiefs.
Katika kilele cha SportPesa Wiki ya Mwananchi Julai 22 Maxi aliupiga mwingi ndani ya dakika 45 na ubao ukasoma Yanga 1-0 Kaizer Chiefs ukiwa ni mchezo wa kimataifa wa kirafiki.