KIPA MPYA SIMBA HUYU HAPA
RASMI Klabu ya Simba imetangaza nyota Jefferson Luis raia wa Brazil kuwa kipa mpya ndani ya timu hiyo. Kipa huyo ni nyota wa 10 kusajiliwa ndani ya Simba ambayo imeweka kambi Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2023/24. Alikuwa anacheza Klabu ya Resende FC ya Serie D ya Brazil na msimu uliopita alicheza…