WIKI YA MWANANCHI YANGA NA KAIZER WAKIWASHA KWA MKAPA
MCHEZO wa kimataifa wa kirafiki kati ya Yanga dhidi ya Kaizer Chiefs umekuwa na ushindani mkubwa kwa kila timu kuonyesha ushindani. Dakika 45 zile za mwanzo ubao wa Uwanja wa Mkapa Yanga 1-0 Kaizer Chiefs. Bao la uongozi limepachikwa na mshambuliaji wa Yanga, Kennedy Musonda dakika ya 45. Musonda amepachika bao hilo akitumia pasi ya…