KOCHA Mkuu wa Yanga Migueli Gamondi amezungumzia kuhusu mchezo wa kesho dhidi ya Kaizer Chiefs.
Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya SportPesa Wiki ya Mwananchi ikiwa ni maalumu kwa kuwatambulisha wachezaji wapya na wale waliokuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23.
Yanga imekamilisha usajili wa wachezaji wazawa ikiwa ni pamoja na Jonas Mkude, Kibabage, Skudu.