JUMA MGUNDA NA SIMBA KUNA KITU
UPO uwezekano mkubwa wa Simba kuendelea na kocha wake msaidizi, Juma Mgunda katika msimu ujao licha ya usiri mkubwa ulikuwepo kati yake na mabosi wa timu hiyo. Mgunda hakuwakatika msafara wa timu hiyo, uliosafiri kwenda nchini Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki tatu kujiandaa na msimu ujao. Kocha huyo mzee wa ball itembee ni…