UZI WA SIMBA KUZINDULIWA KILELENI, KILIMANJARO
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa uzi mpya wa msimu wa 2023/24 upo tayari na utazinduliwa Kilimanjaro. Kikosi cha Simba kimeweka kambi Uturuki na kwa sasa maandalizi kuelekea msimu mpya yanaendelea ikiwa ni pamoja na suala jezi mpya. Ipo wazi kuwa watani zao wa jadi Yanga wao uzi upo mtaani baada ya uzinduzi wao kukamilika….