VIDEO:TUNDA MAN AFUNGIKIA MAPOKEZI YAKE NA NGOMA ZA MPIRA

TUNDA Man afungukia mapokezi yake na ngoma za mpira pamoja na ujio wa nyimbo mpya pamoja na wachezaji huku akibainisha kuwa wachezaji huwa wanakuja na kuondoka.

Simba ambao ni watani wa jadi wa Yanga wanakazi ya kupambania taji la ligi huku akifungukia kuhusu Onana kuwa ni moja ya nyota mwenye uwezo mkubwa.

Msimu wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuanza Agosti baada ya Ngao ya Jamii fainali kuwa Agosti 13,2023 ambapo Yanga walitwaa taji hilo msimu wa 2022/23.