MUUZA CHIPSI ASHINDA MAMILIONI YA SUPER JACPOT YA SportPesa
HAMISI Kassimu Ndigo mkazi wa Kijichi ambaye ni muuza Chipsi Dar ni mshindi wa bonasi ya Super Jacpot ya SportPesa baada ya kupatia kwa usahihi mechi 15 kati ya 17 na kushinda Tsh. 5,908,578. Mshindi huyo wa SportPesa Hamisi amesema kuwa alianza kucheza na SportPesa miaka mitatu iliyopita kutokana na marafiki zake kucheza na kushinda…