SportsVIDEO: JEMBE AFUNGUKIA ISHU YA MAYELE KUONDOKA YANGA Saleh1 year ago01 mins LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo kitaifa na kimataifa Bongo, Saleh Ally Jembe amefungukia kuhusu usajili unaondelea kwa Simba, Yanga, Singida Fountain Gate. Jembe amefunguka kuhusu ishu ya Fiston Mayele wa Yanga. Post navigation Previous: GAMONDI AIFUMUA YANGA, PHIRI ATOA TAMKO SIMBANext: VIDEO:MWAKINYO AMJIBU HAJI MANARA? MABONDIA KELELE NYINGI