AZAM FC KUANZA NA YANGA

MATAJIRI wa Dar, Azam FC msimu mpya wa 2023/24 watafungua kete yao ya kwanza kwa kucheza na Yanga katia mchezo wa Ngao ya Jamii. Azam FC wataanza msimu mpya wa 2023/24 kwa kucheza mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga, utakaofanyika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga Agosti  2023. Mchezo huo utachezwa saa…

Read More

JEMBE LA KAZI LINATUA YANGA

GIFT Fred kutoka SC Villa ya Uganda anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Yanga. Yanga ipo kwenye mpango wa kuboresha timu hiyo kwa ajili ya msimu wa 2023/24. Ni Nikson Kibabage huyu ni mchezaji wa kwanza kutambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga na wengine wanafuata. Mwamba huyu ni beki ambaye dili lake likikamilika atakuja…

Read More

CHUMA KIPYA CHA KAZI SIMBA HIKI HAPA

NI Che Malone Fondoh yeye ni beki ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba ikiwa ni ingizo jipya kwa washindi hao wa pili kwenye ligi. Yanga ni mabingwa wakiwa ni washindi wa kwanza ambapo nao wanajipanga kwa ajili ya kupambania ubingwa wao. Timu hizo za Yanga na Simba ikiwa kila timu itashinda kwenye mchezo wa hatua…

Read More