MWAMBA HUYU YUPO SANA AZAM FC

KUELEKEA msimu wa 2023/24 mabosi wa Azam FC wamemuongezea dili la miaka mitatu nyota Sospeter Bajana. Nyota huyo bado ataendelea kusalia ndani ya Azam FC inayotumia Uwanja wa Azam Complex mpaka 2026. Ikumbukwe kwamba Azam FC iligotea nafasi ya pili kwenye fainali ya Azam Sports Federation baada ya kupoteza kwenye mchezo dhidi ya Yanga. Yanga…

Read More

HESABU ZA KESHO MUHIMU KUPANGWA LEO

KWA kila aina ya nyakati ambazo zinapita ni muhimu kuwa na mwendelezo mzuri ambao utaleta matokeo chanya kila idara kwenye sekta ya michezo sio Yanga tu bali Singida Big Stars. Namungo mpaka Geita Gold wakati wa kuanza maandalizi ni sasa kwani kila timu ni muhimu kufanya maandalizi mazuri. Wapo ambao wanaamini kwamba kufika mwisho kwa…

Read More

NIFUATE YA SAMAKIBA YAPAMBA MOTO

KWENYE Nifuate ya Samakiba huku mgeni rasmi akiwa ni rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amekuwa shuhuda ubao ukisoma Timu Samatta 4-2 Timu Kiba. Mchezo huo wa hisani maalumu kwa ajili ya kurejesha kwa jamii umepamba moto huku kila mmoja akionesha ujuzi wake ndani ya uwanja. Mchezo huo wa hisani ulichezwa Uwanja wa Azam Complex…

Read More

WAWILI SIMBA WAMEGOTA MWISHO

BEKI wa Simba Mohamed Outtara hatakuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Nyota huyo alikuwa kwenye kikosi kilichopoteza Ngao ya Jamii mbele ya watani za jadi Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Katika mchezo huo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao mawili yote yakifungwa na Fiston Mayele ambaye alimtungua Beno Kakolanya. Ni Pape Sakho…

Read More

WINGA WA KAZI IMEISHA HIYO YANGA

KUTOKA Dodoma mpaka Dar kutokana na uwezo wake ambao uliwavutia mabosi wa Yanga wakampa dili kuitumikia timu hiyo. Alikuwa anacheza ndani ya Dodoma Jiji akaanza changamoto mpya Yanga yenye maskani yake Jangwani, Kariakoo. Mafanikio makubwa akiwa na timu hiyo ni pamoja na kuwa miongoni mwa wachezaji walioandika historia ya kutinga hatua ya fainali katika Kombe…

Read More