>

VIDEO:BOSI SIMBA AFICHUA KUHUSU USAJILI MPYA

WAKIWA ni mashuhuda wa ubingwa kuelekea kwa watani zao wa jadi Yanga Simba wameanza mpango kazi kwa ajili ya kuunda kikosi kipya kwa msimu wa 2023/24.

Yanga ni mabingwa watetezi msimu ujao huku Simba wakiwa wamegotea nafasi ya pili. Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Salim Abdallah, ‘Tray Again’ amebainisha kuhusu mipango kazi ya timu hiyo.