VIDEO:MZARAMO WA SIMBA AKUBALI MUZIKI WA WANANCHI, TUUNGANE

MZARAMO wa Simba akubali muziki wa watani za jadi Yanga kutokana na kufanya kazi kubwa ndani ya msimu wa 2022/23. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara chini ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi ambaye hatakuwa kwenye kikosi kwa msimu ujao wa 2023/24.

Mzaramo wa Simba ameweka wazi kuwa kwa sasa ni muda wa kuungana kwa ajili ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo ina kibarua Juni 18 Uwanja wa Mkapa kuwania kufuzu AFCON