>

MUONEKANO WA KOMBE JIPYA LA NBC

HILI hapa kombe jipya la NBC Premier League ambalo watakabidhiwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara Yanga. Leo Juni 7,2023 limezinduliwa kombe hilo mbele ya Waandishi wa Habari makao makuu ya benki hiyo, Posta. Yanga imetwaa taji hilo mara ya pili mfululizo ikiwa ni msimu wa 2021/22 na msimu huu pia wa 2022/23 lipo mikononi mwa…

Read More

YANGA WAPIGIWA GWARIDE LA HESHIMA

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kwenye mchezo wao dhidi ya Mbeya City walipigwa gwaride la heshima. Gwaride hilo Yanga walipigiwa kabla ya mchezo wao wa mzunguko wa pili dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Dakika 90 zilikamilikwa kwa sare ya kufungana mabao 3-3 na kugawana pointi…

Read More

VITA MPYA IMEIBUKA YANGA V SIMBA

WAKATI vita ya ubingwa ikiwa imefungwa kwa Yanga kufanikisha lengo la kutwaa ubingwa suala la kiatu cha ufungaji bora kwa sasa kina sura mpya. Ni Fiston Mayele mshambuliaji wa Yanga huyu anaongoza kwenye orodha akiwa ametupia mabao 16 na pasi tatu za mabao. Anayemfuatia ni Saido Ntibanzokiza wa Simba mwenye mabao 15 kibindoni na pasi…

Read More

FISTON MAYELE BALAA LAKE LIPO HAPA

MZEE wa kutetema Fiston Mayele wa Yanga mguu, ‘guu’ lake la kulia lina balaa kitaifa na kimataifa kwenye kutupia mabao kutokana na kufunga mabao mengi kwenye mechi za ushindani. Nyota huyo wa Yanga ana tuzo ya mfungaji bora kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika akiwa ametupia jumla ya mabao 7 na kuvaa medali ya…

Read More