SportsSIMBA YAVUNJA MKATABA NA KIUNGO WA KAZI Saleh2 years ago01 mins SIMBA yavunja mkataba na kiungo wa kazi raia wa Ghana ambaye amefunga mabao manne ndani ya Ligi Kuu Bara 2022/23 Miongoni mwa timu ambazo amezifunga ni pamoja na Yanga kwenye mchezo wa Kariakoo dabi. Post navigation Previous: NABI APIGA HESABU ZA DAKIKA 180Next: MZEE WA KUCHETUA AIVURUGA SIMBA