SAKHO NA NYAVU NDANI YA LIGI KUU BARA
PAPE Sakho ndani ya Ligi Kuu Bara katupia mabao 9 msimu wa 2022/23 aligotea kwenye mabao hayo dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Azam Complex. Kinara wa utupiaji ni Fiston Mayele wa Yanga mwenye mabao 16 akiwa ametoa pasi mbili za mabao msimu wa 2022/23. Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira amesema kuwa kiungo huyo…