LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo Bongo kitaifa na kimataifa Saleh Jembe amezungumzia kuhusu Simba kuondolewa katika Ligi ya Mabingwa hatua ya robo fainali dhidi ya Wydad Casablanca na kuzungumzia ishu ya wapinzani wa Yanga kwenye hatua ya nusu fainali.
Yanga imetinga hatua ya nusu fainali ikiwa na mastaa wake wapya kama Aziz KI,Joyce Lomalisa ambao wanatimiza majukumu yao kwenye timu hiyo.