VIDEO:KIBU ANAIBEBA SIMBA, JEMBE AFUNGUKA MPANGO MZIMA

KIBU Dennis kiungo wa Simba bao lake dhidi ya Yanga, Uwanja wa Mkapa linatajwa kuwa moja ya bao lake bora ambalo amefunga msimu huu huku akiwa na pasi za mabao kwenye anga za kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

Legend wa masuala ya michezo Bongo na kimataifa, Jembe ameainisha kuhusu kazi ya Kibu ambaye alifanya kazi na beki mwili jumba Pascal Wawa anayeitumikia Singida Big Stars