- Ligi mbalimbali Duniani kuendelea wikendi hii huku kila timu ikihitaji kusaka pointi 3 muhimu ili kusalia kwenye ligi, wengine wakipambania Ubingwa na wengine wakipambani kusalia kwenye ligi. EPL, Bundesliga, NBC, Serie A, Laliga Ligue 1 hizo ni zile kubwa duniani lakini pia kuna zingine kutoka nchini mbalimbali zitapigwa.
Ligi ya Ufaransa Ligue 1 itaendelea wikendi hii kwa michezo mingi sana na mojawapo ya mchezo mkali ni ule ambao utawakutanisha kati ya Lyon dhidi ya Marseille ambapo timu zote mbili zipo nafasi 10 za juu kwenye msimamo. Nani kukupatia pesa?. Rennes yeye atachuana vikali dhidi ya Montpellier. Suka jamvi lako hapa Meridianbet sasa.
Bundesliga Dortmund atakuwa nyumbani kumwalika Eintracht Frankfurt, huku Bayern ambaye ametoka kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Mainza 05. Nafasi kubwa ya ushindi amepewa Bingwa mtetez akiwa na ODDS ya 1.57 wakati mwenye akiwa na ODDS ya 5.09 wewe pesa yako unaiweka wapi? Beti sasa na Mabingwa.
Sub-Heading:
Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii hapa.
Kwenye Serie A, Napoli baada ya kuaga mashindano makubwa barani Ulaya UCL watakipiga dhidi ya Juventus ambao wao wameingia hatua ya Nusu Fainali ya Europa Ligi. Je hasira zao wazimalizia hapo na ikumbukwe kuwa mechi ya mwisho Bibi Kizee wa Turin alipasuka vibaya sana. Inter nao baada ya kupoteza mchezo wake wa mwisho wa ligi watakuwa ugenini dhidi ya Empoli. Meridianbet Chagua Tukupe.
Laliga itaendelea pia wikendi hii ambapo mechi za kuvutia ni kati ya vinara wa ligi FC Barcelona dhidi ya Atletico Madrid huku kila timu ikihitaji pointi tatu izidi kujimaarisha katika nafasi ya juu au iliyopo. Sevilla baada ya kupata ushindi mnono kwenye ligi ya Europa atacheza dhidi ya Villa real. Bashiri sasa kwa USSD ni rahisi kushinda kwa dau dogo sana la TZS 250/= tena unabeti bure kabisa.
Haiishii hapo tu, Ile michuano ya Kombe la FA pale Uingereza itarindima wikendi hii Manchester City atamkaribisha Shieffield United nyumbani kwake huku vijana hao wa Pep Guardiola wakihitaji Kombe hili. Siku ya Jumapili Manchester United baada ya kutolewa kwenye Ligi ya Europa atamenyana dhidi ya Brighton huku nae akihitaji zaidi Kombe hili. Meridianbet wana machaguo zaidi ya 1000.
NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE