IKIWA ni mchezo wa hatua ya robo fainali ni Ally Salim ameanza langoni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali dhidi ya Wydad Casablanca.
Shomari Kapombe, Henock Inonga,Joash Onyango na Mohamed Hussein hawa upande wa ulinzi.
Mzamiru Yassin na Sadio Kanoute hawa upande wa viungo wakabaji.
Kibu Dennis, Saidi Ntibanzokiza na Clatous Chama upande wa viungo washambuliaji.
Jean Baleke ameanza upande wa mshambuliaj, Uwanja wa Mkapa