MPIRA ULIANZIA WAPI? PESA ZINATOKA WAPI?

Historia ya mpira wa miguu ilikuwepo tangu karne ya 15C, lakini ilisambaa Zaidi karne ya 19C huko Uingereza ambapo mpira wa miguu ulikuwa unachezwa mjini na baadae ukahamishiwa kuchezwa kwenye shule za umma. Mwaka 1865 Uingereza waliamua kuurasmisha mchezo huu pendwa na kuunda Chama cha Soka (FA) kitakachokuwa kinasimamia kanuni na sharia za mpira. Baada…

Read More

JULIO AKABIDHIWA WANA KINO BOYS

JAMHURI Kihwelo,’Julio’ atakuwa ndani ya KMC kwenye mechi nne ambazo zimebaki msimu wa 2022/23. Ni Hitimana Thiery alikuwa anakiogoza kikosi hicho mkataba wake umevunjwa baada ya makubaliano ya pande zote. Yote hayo yalifanyika Aprili 13,2023 ambapo tayari Julio ametambulishwa kwa ajili ya kuwanoa Wanakino Boys. Mchezo wa mwisho Hitimana kukiongoza kikosi cha KMC alishuhudia ubao…

Read More

NABI KAKIMBIZA DAKIKA 990

Novemba 29,2022 ubao wa Uwanja wa Highland Estate ulisoma Ihefu 2-1 Yanga ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa timu hiyo kupoteza pointi tatu ndani ya ligi wakivunjiwa rekodi ya kucheza mechi 49 za ligi bila kufungwa na kutibua mpango wa kufikisha mechi 50 ndani ya ligi. Baada ya hapo Yanga imecheza mechi 11 bila kupoteza…

Read More