SINGIDA BIG STARS HAO NUSU FAINALI

SINGIDA Big Stars imekata tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation kwa ushindi wa mabao 4-1 Mbeya City

Mchezo huo umechezwa Uwanja wa Liti ikiwa ni hatua ya robo fainali.

Watupiaji wa Singida Big Stars ni Bruno Gomes katupia kambani mara mbili Bright Adjei kamba moja Sawa na Francy Kazadi.

Ni Eliud Ambokile amefunga Kwa Mbeya City dakika ya 55.