BEKI MTIBWA SUGAR KUPUMZISHWA SHINYANGA

IDDY Mobby aliyekuwa beki wa Mtibwa Sugar baada ya kutangulia mbele za haki mwili wake umepelekwa leo Machi 6,2023 nyumbani kwao mkoani Shinyanga.

Maziko yanatarajiwa kufanyika kesho Machi 07, 2023.

Beki huyo ambaye amewahi kucheza Polisi Tanzania alipokuwa ni nahodha taarifa za kutangulia mbele za haki zilitolewa Machi 5.

Alikutwa na umauti alipokuwa akipatiwa matibabu.

Pumzika kwa Aman Mobby