NI leo ndani Stade du 26 Mars, Bamako Yanga wanakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Real Bamako.
Kikosi ambacho kinatarajiwa kuanza kipo namna hii:-
Djigui Diarra
Djuma Shaban
Joyce Lomalisa
Bakari Mwamnyeto
Dickson Job
Khalid Aucho
Jesus Moloko
Yannick Bangala
Fiston Mayele
Mudhathir Yahya
Kennedy Musonda
Akiba ni
Metacha Mnata
Doumbia
Kibwana
Mauya
Sure Boy
Farid
Kisinda
Aziz KI
Mzize